Naibu rais mteule wa Kenya Kindiki Kithure kuapishwa kesho. KICC

BabaMia

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2024
Posts
270
Reaction score
554
#BREAKING: Naibu rais mteule wa Kenya, Kindiki Kithure, ataapishwa hapo kesho katika jumba la mikutano la KICC.

Ikumbukwe kuwa leo Mahakama Kuu jijini Nairobi ilifutilia mbali agizo la Mahakama ya Kuu ya Kerugoya, Kaunti ya Kirinyaga kuzuia kuapishwa kwa Prof. Kithure Kindiki kama Naibu Rais.

Jopo la majaji watatu wakiongozwa na Erick Ogolla, lilisema limechukua uamuzi huo kwa kuzingatia kwamba Ofisi ya Naibu Rais haiwezi kuendelea kusalia bila kuwa na mtu.

Uamuzi huu sasa unaruhusu kuapishwa kwa Kithure Kindiki kama Naibu Rais wa Tatu wa Kenya.

Hata hivyo, Jaji Ogolla amesema Gachagua anaweza kuukatia rufaa uamuzi huo.
 
Attachments

  • 1730394279328.jpg
    1730394279328.jpg
    253 KB · Views: 6
Naibu rais mteule wa Kenya, Kindiki Kithure, ataapishwa hapo kesho katika jumba la mikutano la KICC.

Ikumbukwe kuwa leo Mahakama Kuu jijini Nairobi ilifutilia mbali agizo la Mahakama ya Kuu ya Kerugoya, Kaunti ya Kirinyaga kuzuia kuapishwa kwa Prof. Kithure Kindiki kama Naibu Rais.

Jopo la majaji watatu wakiongozwa na Erick Ogolla, lilisema limechukua uamuzi huo kwa kuzingatia kwamba Ofisi ya Naibu Rais haiwezi kuendelea kusalia bila kuwa na mtu.

Uamuzi huu sasa unaruhusu kuapishwa kwa Kithure Kindiki kama Naibu Rais wa Tatu wa Kenya.

Hata hivyo, Jaji Ogolla amesema Gachagua anaweza kuukatia rufaa uamuzi huo.
Screenshot_20241031-202153.png
 
TOTAL CHAOS HILI NDIO ZAO LA THE SO CALLED KATIBA MPYA.
KAMWE WATANZANIA TUSIINGIE KWENYE MTEGO HUU
 
You are completely wrong and out of point.
Je, hujaona kwamba kwenye huo Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Kenya bado Gachagua amepewa nafasi ya kukata Rufaa endapo kama hajaridhika? Ubaya wa hiyo Katiba mpya ya Kenya hapa uko wapi?
Je, kwa Tanzania mtu ambaye hajaridhika na matokeo ya kura za Uchaguzi wa Rais wa nchi anayo nafasi ya kwenda kufungua Kesi Mahakamani kama ilivyo katika nchi ya Kenya?
 
Hakuna.
 
SISI Watanzania tunaotaka KATIBA mpya kama Wakenya. Sijui wewe Chawa.
 
wewe ndio chawa mkubwa jamii ya kunguni unayepelekeshwa na mawazo ya wahuni wanaopokea fedha za ughaibuni kuchafua nchi
 
You are completely wrong and out of point.
Je, hujaona kwamba kwenye huo Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Kenya bado Gachagua amepewa nafasi ya kukata Rufaa endapo kama hajaridhika? Ubaya wa hiyo Katiba mpya ya Kenya hapa uko wapi?
Je, kwa Tanzania mtu ambaye hajaridhika na matokeo ya kura za Uchaguzi wa Rais wa nchi anayo nafasi ya kwenda kufungua Kesi Mahakamani kama ilivyo katika nchi ya Kenya?
Nchi badala kuongelea maendeleo ni upuuzi wa maandamano na mikasa ya mahakamani tu ...huu ni upuuzi kiwango cha juu.
 
Kwa hiyo unataka kusema kwamba Tanzania tuna maendeleo makubwa zaidi kuizidi nchi ya Kenya eti kwa sababu Tanzania Watu hawaruhusiwi kufanya maandamano na pia hakuna Mikasa ya Mahakamani Kati ya raia na serikali? Au unamaanisha Nini?

Anyway, hoja zako zinathibitisha pasipo kuacha shaka kwamba kweli wewe ni 'jingalao' kama lilivyo jina la avatar yako.
 
Back
Top Bottom