Naibu Rais wa Kenya aanza kujitetea bungeni dhidi ya hoja ya kumtimua madarakani

Naibu Rais wa Kenya aanza kujitetea bungeni dhidi ya hoja ya kumtimua madarakani

Didododi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2023
Posts
347
Reaction score
465

Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua ameanza kujitetea mbele ya Wabunge nchini humo ambao wamekuwa wakijadili hoja ya kumuondoa madarakani, kwa tuhuma mbali mbali ikiwa ni pamoja na uhaini, kupata mali kinyume cha sheria na kutoa kauli zinazochochea ukabila
Good move
 
Ukabila sio poa. Poleni sana. Wakenya
 
Back
Top Bottom