Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Chaguo la kwanza,
Ni ama ajiuzulu nafasi yake kwa hiyari yake mwenyewe, kuepuka fedheha ya kubaduliwa na bunge kutoka kwenye wadhifa wa naibu Rais kutokana na tuhuma za kukiuka katiba zinazomkabili.
Chaguo la pili,
Awe tu muungwana, ajishushe chini kiungwana na aombe radhi kwa Rais boss wake, na waKenya wote ili muswada huo uondolewe bungeni hata kama anahisi hana hatia navwala hajafanya kosa lolote. Waketi chini wamalizane lile ambalo ni changamoto na wanalotofautiana liishe, ili kwa pamoja waendelee kuwatumikia waKenya pamoja na viongozi wengine serikalini kama walivyo anza 2022.
Chaguo muhimu la tatu na la mwisho,
Ni apambane vilivyo, kufa na kupona, ahakikishe anashinda mtihani na pambano hilo kali sana na gumu mno, la hoja ya kutokua na imani nae, na hatimae asibanduliwa kwenye nafasi yake ya Naibu wa Rais wa Kenya.
Kwa kuhitimisha,
Kwa jinsi katiba ya Kenya ilivyo mbovu, endapo bunge litafanikiwa kumbandua kwenye nafasi yake ya naibu Rais wa Kenya anayoishikilia hivi sasa, basi atakua amepoteza sifa, vigezo na haki za kikatiba kugombea tena uongozi katika taifa la Kenya au kutumikia ofisi yoyote ya umma maisha yake yote, unless katiba na kifungu hicho kibadilishwe 🐒
Nini maoni yako?
Mungu Ibariki Tanzania