Amesema aligundua kuwa anapofonya miamala serikali huchukua pesa kidogo kuliko bank au makampuni ya simu.
Ametaka serikali ifanye utafiti kuona kama kiwango wanachokata ni sahihi.
View attachment 2364023
Zungu namkubali na ana Nia ya kweli ya kuona Nchi inasonga mbele,sio kutetea wapumbavu wanaolia Lia Kuhusu tozo,unaweza wauliza baada ya tozo kupunguzwa imewaongezea nini kwenye maendeleo Yao?Amesema aligundua kuwa anapofonya miamala serikali huchukua pesa kidogo kuliko bank au makampuni ya simu.
Ametaka serikali ifanye utafiti kuona kama kiwango wanachokata
View attachment 2364023
Pia soma:Naibu Spika ashauri Serikali kudhibiti makato ya Mabenki na Kampuni za Simu kwa wateja
Wewe na zungu wako mliwaho kuona wapi mtoa huduma anachukua kidogo au sawa sawa na serikali? Maana mabenk na mitandao ya simu ndio watoa huduma, wanarun systems, wanalipa wafanyakazi, ikitokea hasara kwa mteja wao ndio watailipa sasa inawezekanaje wagawane sawa au serikali ichukue zaidi?Zungu namkubali na ana Nia ya kweli ya kuona Nchi inasonga mbele,sio kutetea wapumbavu wanaolia Lia Kuhusu tozo,unaweza wauliza baada ya tozo kupunguzwa imewaongezea nini kwenye maendeleo Yao?
Wala sio hoja ya Zungu hiyo bali kinachochukuliwa ni kikubwa kuliko uhalisia..Wewe na zungu wako mliwaho kuona wapi mtoa huduma anachukua kidogo au sawa sawa na serikali? Maana mabenk na mitandao ya simu ndio watoa huduma, wanarun systems, wanalipa wafanyakazi, ikitokea hasara kwa mteja wao ndio watailipa sasa inawezekanaje wagawane sawa au serikali ichukue zaidi?
Haya ni mawazo ya ajabu kabisa
Kwani anayepanga serikali inachukua asilimia ngapi ni hao mabenki au serikali yenyewe? Anayepanga vat ni benk?Wala sio hoja ya Zungu hiyo bali kinachochukuliwa ni kikubwa kuliko uhalisia..
Ukimsoma Zungu btn the lines anataka watoa huduma wapunguze Makati na kile watakachopunguza ndio kiende Serikalini bila ongezeko lolote la tozo..
Kanuni ya kupanga inatokana na declaration ya hizo kampuni kwenye financial statements zao Kwa kuonyesha high operational costs nk Ili wapate base ya kikubwa kubaki kwao..Kwani anayepanga serikali inachukua asilimia ngapi ni hao mabenki au serikali yenyewe? Anayepanga vat ni benk?
Tuanzei haoo kwanza. Ukiweka vocha ya 2000 kwenye simu, tshs. 303 ni kodi ya serikali na kinachobaki ndio kampuni inapaswa kutoa gharama za kurun na faida hapo hapo.
Kama ni hvyo, basi serikali haifanyi kazi yake imelala ndio maana kuna loopholes za kudanganywa.Kanuni ya kupanga inatokana na declaration ya hizo kampuni kwenye financial statements zao Kwa kuonyesha high operational costs nk Ili wapate base ya kikubwa kubaki kwao..
Nenda Ilala ukaione ilivyochakaa lakini ukija uchaguzi leo ni yeye ndiye atakayeshinda. !!Kweli huyu jamaa anachekesha, wao lazima wachukue nyingi kwasababu ndio watoa huduma. Hawawezi gawana sawa na sawa na serikali.
Ni sawa aseme serikali inachukua faida kidogo na mfanyabiashara anachukua kiasi kikubwa.
Sijui kwanini TZ watu wenye janja janja ndio tunawapa nafasi za kushikilia mambo muhimu
Kwani wao serikali hawakati kodi humu humo?Amesema aligundua kuwa anapofanya miamala Serikali huchukua pesa kidogo kuliko bank au makampuni ya simu.
Ametaka Serikali ifanye utafiti kuona kama kiwango wanachokata kiko sahihi au kunahitajika mabadiliko.
View attachment 2364023
Pia soma:Naibu Spika ashauri Serikali kudhibiti makato ya Mabenki na Kampuni za Simu kwa wateja
Kwa kazi ipi serikali iliyofanya hadi iongezewe gawio? Haya ndo Mawazo ya kiwiziwizi tu.Wala sio hoja ya Zungu hiyo bali kinachochukuliwa ni kikubwa kuliko uhalisia..
Ukimsoma Zungu btn the lines anataka watoa huduma wapunguze Makati na kile watakachopunguza ndio kiende Serikalini bila ongezeko lolote la tozo..
Hawana jinsi mkuu, alafu ccm wanataka tena makampuni ya simu yaanze kukata kodi kwa matumizi ya data, si ***** huu.Makampuni ya Simu yanatufyonza.
Wanakwambia Jenerali Ulimwengu ndo kaichakaza hiyo wilaya ya ilala hadi leo 😆 😆Nenda Ilala ukaione ilivyochakaa lakini ukija uchaguzi leo ni yeye ndiye atakayeshinda. !!