Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Alicho maanisha ni kwamba taratibu wa uwasilishaji taarifa hiyo haukuwa sawasawa/kukidhi vigezo vyote vinavyo hitajikaSiku chache zilizopita, Naibu Spika, Tulia alisiika akisema Bunge halina taarifa rasimi ya wanaoitwa Wabunge wa CHADEMA kuvuliwa uanachama, akimanisha wao kama Bunge hawajapata barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ya kuwavua uanachama.
Sasa kauli tata ya Spika ya leo ya kutaka vithibitisho kuwa CHADEMA walifuata taratibu za kuwavua uanachama si ni uthibitisho kuwa ofisi ya Spika ilipokea barua kutoka CHADEMA?
Ama kweli njia ya muongo ni fupi!
kupewa taarifa isiyokamilika nisawa na kwamba huna taarifaSiku chache zilizopita, Naibu Spika, Tulia alisiika akisema Bunge halina taarifa rasimi ya wanaoitwa Wabunge wa CHADEMA kuvuliwa uanachama, akimanisha wao kama Bunge hawajapata barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ya kuwavua uanachama.
Sasa kauli tata ya Spika ya leo ya kutaka vithibitisho kuwa CHADEMA walifuata taratibu za kuwavua uanachama si ni uthibitisho kuwa ofisi ya Spika ilipokea barua kutoka CHADEMA?
Ama kweli njia ya muongo ni fupi!
Mbona umechafukwa hivyo mkuu!Yaani Andunje na Betina ni takataka kabisa
Kwani huyo ni chama gani mpaka ukamwamini!? Anyway MTU hujifunza kwa makosa.Siku chache zilizopita, Naibu Spika, Tulia alisiika akisema Bunge halina taarifa rasimi ya wanaoitwa Wabunge wa CHADEMA kuvuliwa uanachama, akimanisha wao kama Bunge hawajapata barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ya kuwavua uanachama.
Sasa kauli tata ya Spika ya leo ya kutaka vithibitisho kuwa CHADEMA walifuata taratibu za kuwavua uanachama si ni uthibitisho kuwa ofisi ya Spika ilipokea barua kutoka CHADEMA?
Ama kweli njia ya muongo ni fupi!
Mbona hapo mkuu umejijibu mwenyewe? Ushasema taarifa rasmi, sasa wataka nini cha zaidi?Siku chache zilizopita, Naibu Spika, Tulia alisiika akisema Bunge halina taarifa rasimi ya wanaoitwa Wabunge wa CHADEMA kuvuliwa uanachama
Yeye kama Spika kama barua zilikuwa hazijitoshelezi alitakiwa awajibu sio kukaa kimya na kuleta malumbano yasio na msingiAlicho maanisha ni kwamba taratibu wa uwasilishaji taarifa hiyo haukuwa sawasawa/kukidhi vigezo vyote vinavyo hitajika
Hawa wote wawili hawajielewi wala hawajitambuiSiku chache zilizopita, Naibu Spika, Tulia alisiika akisema Bunge halina taarifa rasimi ya wanaoitwa Wabunge wa CHADEMA kuvuliwa uanachama, akimanisha wao kama Bunge hawajapata barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ya kuwavua uanachama.
Sasa kauli tata ya Spika ya leo ya kutaka vithibitisho kuwa CHADEMA walifuata taratibu za kuwavua uanachama si ni uthibitisho kuwa ofisi ya Spika ilipokea barua kutoka CHADEMA?
Ama kweli njia ya muongo ni fupi!
Kabla ya hii barua ya kufutwa uanachama kwa hawa 19, ambayo speaker anasema haina vithibitisho, je uthibitisho wa kuteuliwa kwao hao Covid 19 ulikua na "vithibitisho" ambavyo bunge na tume ya uchaguzi waliridhika? Tuanzie hapo kwanza.Alicho maanisha ni kwamba taratibu wa uwasilishaji taarifa hiyo haukuwa sawasawa/kukidhi vigezo vyote vinavyo hitajika
Ile barua ya kuwateua ilikidhi vigezo vinavyotakiwa? Kabla hatujafika kwenye barua ya kuwafuta. Kwa sababu wako bungeni baada ya kuteuliwa na chama chao.Alicho maanisha ni kwamba taratibu wa uwasilishaji taarifa hiyo haukuwa sawasawa/kukidhi vigezo vyote vinavyo hitajika
Taarifa ya kuwateua ilikamilika?kupewa taarifa isiyokamilika nisawa na kwamba huna taarifa
hivi nani anaye teuwa? nani anayepeleka majina ya walioteuliwa kwa spika?Ile barua ya kuwateua ilikidhi vigezo vinavyotakiwa? Kabla hatujafika kwenye barua ya kuwafuta. Kwa sababu wako bungeni baada ya kuteuliwa na chama chao.