johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bunge linajiondoa kwenye hili la tozo, linamrushia mpira waziri kuwa ndiye aliyetungaNaibu Spika Dr Tulia Ackson amesema bunge litazipitia kanuni za sheria ya tozo za miamala ya simu zilizoandaliwa na waziri wa fedha ili kujiridhisha kama hazikinzani kazi itakayofanywa na kamati ya sheria ndogo ya bunge.
Endapo itaonekana kanuni ziko sawa basi sheria itapelekwa kwenye bunge zima
Source: ITV habari
Yaani walikuwa wap kuzipitia kabla ya mnyonge kufikia hali ya kuwa hoi kiasi hiki[emoji116]??Naibu Spika Dr Tulia Ackson amesema bunge litazipitia kanuni za sheria ya tozo za miamala ya simu zilizoandaliwa na waziri wa fedha ili kujiridhisha kama hazikinzani kazi itakayofanywa na kamati ya sheria ndogo ya bunge.
Endapo itaonekana kanuni ziko sawa basi sheria itapelekwa kwenye bunge zima
Source: ITV habari
Issue siyo kukinzana, issue ni kwamba TOZO NI KUBWA kuliko uwezo wa watu kifedha. Tozo zilipandishwa kwa 100%, hiyo siyo sawa kabisa.Naibu Spika Dr Tulia Ackson amesema bunge litazipitia kanuni za sheria ya tozo za miamala ya simu zilizoandaliwa na waziri wa fedha ili kujiridhisha kama hazikinzani kazi itakayofanywa na kamati ya sheria ndogo ya bunge.
Endapo itaonekana kanuni ziko sawa basi sheria itapelekwa kwenye bunge zima
Source: ITV habari
Kwani tozo zilikuwepo hapo kabla? Au una maana gani unaposema zilipandishwa?Tozo zilipandishwa kwa 100%,
Tulia yupo sawa. Sheria hutungwa na bunge, ila kununi/Sheria ndogo hutungwa na waziri wa wizara husikaBunge linajiondoa kwenye hili la tozo, linamrushia mpira waziri kuwa ndiye aliyetunga
Haya ndiyo madhara ya kuwa na bunge la chama kimojaBunge linajiondoa kwenye hili la tozo, linamrushia mpira waziri kuwa ndiye aliyetunga
Bunge DhaifuHaya ndiyo madhara ya kuwa na bunge la chama kimoja
Lakini walipitisha mapendekezo ya bajeti yenye mapendekezo hayo ya tozo?Tulia yupo sawa. Sheria hutungwa na bunge, ila kununi/Sheria ndogo hutungwa na waziri wa wizara husika
Ndio!Lakini walipitisha mapendekezo ya bajeti yenye mapendekezo hayo ya tozo?