Kwa mahakama ipi?????......hii iliyokuwa chini ya C.C.M??Chadema mbona hamuendi mahakamani?
Mpuuze huyo kichaa wa uvccmKwa mahakama ipi?????......hii iliyokuwa chini ya C.C.M??
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mataga linajifanya kujua kumbe linajimalizaUngefahamu kuwa hauna HOJA ungejipumzikia tu. Bahati mbaya buku 7 zinakuswaga.
Huyo bado atanyooka tu maana hii serikali siyo waliyoizoea ya jiwePole wenzio waliishaacha ubishi wa aina hiyo.
Bado mzimu wa mwendazake unamsumbuaSijui una shetani anayekusumbua, huna msimamo, unayumbishwa huku na kule kama unyasi
Mama kashasema kuwa wewe na musiba mwisho wenu unakaribiaWw ndio ulikuwa Dr wake?
Tatizo mkishapata vitekno mnaanza kuandika vitu hata hamvijui
Leo ukiambiwa udhibitishe unaanza kulia na kusema unaonewa
Wonders shall never end [emoji15] [emoji15]Mbunge Kishoa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amelalamikia kunyimwa nafasi ya kufanya mikutano ya kisiasa kabla hajaondolewa kwenye chama chake. Naibu spika akalazimika kuingilia kwa kusema haihitaji kuwa naye bungeni kama hana chama cha Siasa kwani ni takwa la kuwemo bungeni.
"Mheshimiwa Naibu spika sitaki sana kubishana na kiti chako lakini niseme mimi ni miongoni mwa wahanga wakubwa sana wa suala hili la mikutano ya hadhara, nikiwa kama katibu mkuu wa Baraza la wanawake CHADEMA wakati huo kabla sijaondolewa kwenye chama changu...'' Alisema Kishoa
Spika alimkatisha na kusema, "Mheshimiwa Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya spika haina hiyo taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako, kama umeondolewa kwenye chama chako usingekuwa humu ndani kwa sababu wabunge waliokuwemo humu ndani wote wana vyama vya siasa ndivyo katiba yetu inavyosema na ndiyo katiba yetu inavyosema ile katiba hairuhusu mbunge ambae hana chama"
Kishoa: Mheshimiwa Spika hatujaondolewa kwenye chama, bado mimi ni mwanachama wa CHADEMA kwasababu tuko kwenye taratibu na tumekata rufaa na taratibu zinaendelea
Tulia: Mheshimiwa ngoja, waheshimiwa wabunge taarifa rasmi za Bunge ni kumbukumbu, umezungumza kabla ya sentesi yako ya sasakwamba kabla hujaondolewa kwenye chama chako, futa hiyo kauli kwanza halafu umalizie mchango wako kwasababu ndani ya bunge hili tutakuwa tunavunja katiba kama tutakuwa na wewe humu kama umeshaondolewa na chama chako
Kishoa: Mheshimiwa naibu spika nimefuta
Hoja ya Mbunge Jesca ilianzia kwenye haki ya kufanya mikutano ya kisiasa na kukumbana na miongozo mingi kutoka kwa wabunge wakimtaka afute kauli. Kishoa amesema nchi ikiongozwa kwa matamko badala ya katiba itapotea.
Akifafanua kuhusu mikutano ya vyama vya kisiasa, Naibu spika amesema mikutano hiyo ipo kwenye katiba za vyama vya siasa na hufanyika kwa vipindi na sio ya hadhara akitolea mfano mkutano mkuu wa CCM uttakaofata utafanyika JK Convection centre na huo ndio unaitwa mkutano wa CCM lakini Rais akienda mahali unakuwa mkutano wa Rais na si CCM.
MY TAKE:
Je, CHADEMA haijatarifu bunge kuhusu kuwavua uanachama Wabunge 19 wa CHADEMA?
Zaidi soma: John Mnyika amuumbua Spika kwa kutoa ushahidi wa Ofisi ya Spika kupokea barua ya CHADEMA kuwavua ubunge wanachama wake
Tubaki kwenye hoja iliyoletwa juu ya hawa "vitu maalumu" ambao ni wanawake, hiyo nyingine ya vingekua vya "wanaume" itafutie muda mwingine uilete tuone michango ya wadau ikoje.kungekuwa na viti maalum vya wanaume leo Chadema hamna mtu angevuliwa ubunge. Mbowe, Lissu, Lema wangekuwa viti vya mbele kabisa bungeni sema ndio hivyo chama chetu hakiamini wanawake
Ha ha ha ya kuzika jeneza la CHADEMA kabla ya kuiba kura.Tulia hawezi kuwq mrokole maana mwaka jama alishiriki mambo ya kishirikina pale mbeya na kundi lake .
Kwa kauli aliyotoa Rais SSH ya HAKI katika vyombo vya maamuzi, mahakama ikiwemo, sasa CDM wanaweza kupata moyo wa kwenda mahakamani. Lakini hapo nyuma kidogo hata wewe unajua "mhimili uliokua umejichimbia" ulivyokua na power kwa mihimili mingine. Hao Covid 19 wenyewe tunaowajadili ni matokeo ya huo "mhimili"Chadema mbona hamuendi mahakamani?
Mbunge hajielewi kabisa.
Loh
Acha tu...Mbunge Kishoa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amelalamikia kunyimwa nafasi ya kufanya mikutano ya kisiasa kabla hajaondolewa kwenye chama chake. Naibu spika akalazimika kuingilia kwa kusema haihitaji kuwa naye bungeni kama hana chama cha Siasa kwani ni takwa la kuwemo bungeni.
"Mheshimiwa Naibu spika sitaki sana kubishana na kiti chako lakini niseme mimi ni miongoni mwa wahanga wakubwa sana wa suala hili la mikutano ya hadhara, nikiwa kama katibu mkuu wa Baraza la wanawake CHADEMA wakati huo kabla sijaondolewa kwenye chama changu...'' Alisema Kishoa
Spika alimkatisha na kusema, "Mheshimiwa Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya spika haina hiyo taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako, kama umeondolewa kwenye chama chako usingekuwa humu ndani kwa sababu wabunge waliokuwemo humu ndani wote wana vyama vya siasa ndivyo katiba yetu inavyosema na ndiyo katiba yetu inavyosema ile katiba hairuhusu mbunge ambae hana chama"
Kishoa: Mheshimiwa Spika hatujaondolewa kwenye chama, bado mimi ni mwanachama wa CHADEMA kwasababu tuko kwenye taratibu na tumekata rufaa na taratibu zinaendelea
Tulia: Mheshimiwa ngoja, waheshimiwa wabunge taarifa rasmi za Bunge ni kumbukumbu, umezungumza kabla ya sentesi yako ya sasakwamba kabla hujaondolewa kwenye chama chako, futa hiyo kauli kwanza halafu umalizie mchango wako kwasababu ndani ya bunge hili tutakuwa tunavunja katiba kama tutakuwa na wewe humu kama umeshaondolewa na chama chako
Kishoa: Mheshimiwa naibu spika nimefuta
Hoja ya Mbunge Jesca ilianzia kwenye haki ya kufanya mikutano ya kisiasa na kukumbana na miongozo mingi kutoka kwa wabunge wakimtaka afute kauli. Kishoa amesema nchi ikiongozwa kwa matamko badala ya katiba itapotea.
Akifafanua kuhusu mikutano ya vyama vya kisiasa, Naibu spika amesema mikutano hiyo ipo kwenye katiba za vyama vya siasa na hufanyika kwa vipindi na sio ya hadhara akitolea mfano mkutano mkuu wa CCM uttakaofata utafanyika JK Convection centre na huo ndio unaitwa mkutano wa CCM lakini Rais akienda mahali unakuwa mkutano wa Rais na si CCM.
MY TAKE:
Je, CHADEMA haijatarifu bunge kuhusu kuwavua uanachama Wabunge 19 wa CHADEMA?
Zaidi soma: John Mnyika amuumbua Spika kwa kutoa ushahidi wa Ofisi ya Spika kupokea barua ya CHADEMA kuwavua ubunge wanachama wake
Umejaribu kutoa maelezo mareeeefu, ila umesahau kwamba ndugai alishawahi kukiri kupokea barua ya chadema kutokuwatambua hao covid 19. Ila kwa kuwa huu ni uhalifu wa ki dola lazima uhalalishwe na dola. Rejea kutolewa mahabusu usiku ili awahi kuapishwa asubuhi yake. Ukweli katiba yetu inasiginwa kwa manufaa ya wahuni wachache. Wakutulipia ni Rabana, yeye hashindwi jambo. Yuko wapi mwendazake?Naibu Spika ni Mwanasheria wa Kiwango cha PhD,
anajua kabisa kuwa Tanzania haina Mgombea Binafsi tangu 1958 ambao Chief Sarwat alishinda Ubunge wa Mbulu kama Mgombe Binfasi baada ya kutofautiana na TANU na kwa mujibu wa Katiba yetu huwezi kuwa Mbunge kama huna udhamini/ hujapendekezwa na Chama cha Siasa; kama ilivyofafanuliwa na ibara ya 67(1) na (2)(e) na kwa kutambua hilo, ndio maana amehakikisha hansard isihifadhi mchango wa mtu ambaye anasema kuwa ameondolewa kwenye Chama chake na bado yupo Bungeni isipokuwa amesahau kuwa vicitm anasema amekata rufaa. Mtu akihukumiwa kifungo cha miezi5 huanza kuitumikia adhabu hapo hapo hata kama amekata rufaa na anao uwezekano wa kushinda. Kwenye malengo 17 Endelevu ya Dunia, lengo Na 16 ni kujenga TAASISI imara badala ya watu imara, Je Vyama vyetu vya Upinzani ni taasisi imara au ni watu IMARA kama Mbowe au Lipumba?
Ni wajibu wa NCHI kujenga Taasisi imara kama waasisi wa Nchi hii walivyojenga MAJESHI yetu yaliyo imara ambapo wanajeshi hupata Vyeo vyao kwa MERITS na sio kubebwa au kupendelewa. Vivyo hivyo, NGOs zetu nazo ziwe ni Taasisi imara kama Makanisa ya KKKT or RC.
Hongera Dr Tulia kwa kuweka record sahihi kuwa Ofisi ya SPIKA haina taarifa rasmi za kufukuzwa UANACHAMA wa Mhe Jesca, katika muktadha wa kisheria ni wajibu wa CDM kumprove wrong Naibu spika kwa kuonyesha Dispatch book kuwa barua yao ilipokelewa tarehe ngapi, na nani,saa ngapi na mahali gani/Dodoma au Dar?
Nchi yetu imeheshimika Duniani kwa kuitii na kuilinda KATIBA yetu, tusiruhusu wanasiasa wakaanza kuinyofoa nyofoa kwa maslaji yao ya Muda mfupi; Katiba ni roho(soul) ya Taifa, huanzisha Ofisi na kuziwekea mipaka ili kudhibiti tabia na hulka zetu wanadam.
Kazi iendelee kwa Jina la JMT