Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Nani kakweka Kodi?Hv huwa mnatumia kichwa cha binadam kufikr kweli, Kwa nini msikaze kwenye ukwepaji mkubwa wa Kodi halali Kwa wafanya biashara badala ya kukimbizana na vi bando vya buku buku vya mwananchi
Ukiona gharama sana si unaacha tu?Namshangaa huyo Zungu "think tank" wa CCM ambae kila siku anawaza namna ya kumkamua mtanzania wa kawaida, akili yake haiendi mbali na hapo, ajabu bado wajinga wanampongeza.
Mtapokata tozo kwenye data, maana yakw matumizi ya data lazima yatapungua, kwanza yanazidi kupungua kwa kupandisha kwenu bei kila siku, halafu mnataka huyu mtumiaji anayejitahidi kujibana kupata data kwa matumizi yake, tena mje kumkamua tozo ya hiyo data kidogo aliyomudu kujinunulia.
Mnaenda kuathiri wengi, hasa wanafunzi wanaotumia internet kwa ajili ya masomo yao, wafanyabiashara wadogo wanaotangaza bidhaa zao mitandaoni, huu uamuzi wenu wa kijinga unaenda kuongeza ujinga na umasikini kwenye hili taifa respectively.
Tukiacha wote huoni mtakuwa mmefeli kwasababu ya maamuzi yenu ya kijinga?Ukiona gharama sana si unaacha tu?
Usihangaike na huyu jamaa mkuu, hili group la kusifu kila upuuzi wa serikali inaonesha wazi wana jambo lao la siri huko kwenye chama chao dhidi ya mshika kiti.Hv huwa mnatumia kichwa cha binadam kufikr kweli, Kwa nini msikaze kwenye ukwepaji mkubwa wa Kodi halali Kwa wafanya biashara badala ya kukimbizana na vi bando vya buku buku vya mwananchi
Hivi una akili au matope. Ona msg ya Voada kwenye 2000, wanakata kodi 303 almost 30% wanaichukua kama kod halafu unataka waongeze tozo ya kazi gani. Hii nchi ina wajinga wengi.Hoja ya zungu kwa wenye akili watafikiria vizuri na kuisupport, serikali imekua ikipoteza mapato kupitia bando. Sasa hivi matumizi makubwa yamehama kutoka kwenye voicecall na kuwa kwenye bando.
Hivyo ninaomba kwa wale wenye akili waunge mkono wazo Hilo la serikali kwa kufikiria na kuja na tozo kwenye bando.
Kama alivyosema zungu makampuni ya simu pamoja na banks zina ujanja mwingi sana kwa kupata kikubwa tofauti na serikali. Hii haikubaliki
Huwezi amini bado sijakuelewaTukiacha wote huoni mtakuwa mmefeli kwasababu ya maamuzi yenu ya kijinga?
Wanafunzi wakiacha kwasababu ya gharama...
na wafanyabiashara wadogo nao wakiacha kwa sababu ya gharama ya tozo...
Huzioni athari hasi mtakazoisababishia jamii mnayoitawala? yes naandika mnaitawala sio kuiongoza kwa sababu haya mawazo yenu ni ya mtawala tena dikteta.
Kweli wewe akili yako ya kuvuka barabara, internet sasa hivi sio starehe, ni sehemu ya kujifunza, kufsnya biashara, kuwasiliana wakati dunia inahamia huko badala mhimize watu waende na kasi ya dunia watafute fursa huko mnaona kama wanafaidi mnawaza kuwazuiaUkiona gharama sana si unaacha tu?
Naamini huwezi kunielewa usiwe na shaka, kwasababu najua una akili ya kumuelewa Zungu pekee.Huwezi amini bado sijakuelewa
Mbona mbowe namuelewa?Naamini huwezi kunielewa usiwe na shaka, kwasababu najua una akili ya kumuelewa Zungu pekee.
***** zako kwani hizo bando tunazoweka kwenye simu si zinakatwa kodi, wewe unataka kodi gani tena?Hoja ya Zungu kwa wenye akili watafikiria vizuri na kuisupport, serikali imekua ikipoteza mapato kupitia bando. Sasa hivi matumizi makubwa yamehama kutoka kwenye voicecall na kuwa kwenye bando.
Hivyo ninaomba kwa wale wenye akili waunge mkono wazo Hilo la serikali kwa kufikiria na kuja na tozo kwenye bando.
Kama alivyosema zungu makampuni ya simu pamoja na banks zina ujanja mwingi sana kwa kupata kikubwa tofauti na serikali. Hii haikubaliki.