Naibu Spika Zungu: Rais Samia ameweka historia ya kukutana na wanafunzi wenye mahitaji maalumu tofauti na watangulizi wake

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
MHESHIMIWA NAIBU SPIKA ZUNGU: MKAPA, KIKWETE, MAGUFULI HAWAJAFANYA, LAKINI AMEFANYA RAIS SAMIA.

Kwa mujibu wa historia ya nchi yetu ni mara ya kwanza Rais ambaye yuko katika madaraka anakutana na wanafunzi kama hawa leo (wenye mahitaji maalumu), nilianza kazi zangu za siasa 2000, wakati Mzee Mkapa akiwa Rais hakufanya, JK hakufanya na hayati JPM hakufanya lakini wewe umefanya - Naibu Spika, Mussa Azan Zungu.

ZUNGU: MKAPA, KIKWETE, MAGUFULI HAWAJAFANYA, LAKINI AMEFANYA RAIS SAMIA.jpg

TOP 16: MAMBO ALIYOFANYA MAGUFULI NDANI YA MIAKA MINNE.​

Hivi huyu asili yake ni wapi mana huwa namuona km muarabu hivi?
Anaejua anijuze please
 
MHESHIMIWA NAIBU SPIKA ZUNGU: MKAPA, KIKWETE, MAGUFULI HAWAJAFANYA, LAKINI AMEFANYA RAIS SAMIA........
Kwa mujibu wa historia ya nchi yetu ni mara ya kwanza Rais ambaye yuko katika madaraka anakutana na wanafunzi kama hawa leo (wenye mahitaji maalumu), nilianza kazi zangu za siasa 2000, wakati Mzee Mkapa akiwa Rais hakufanya, JK hakufanya na hayati JPM hakufanya lakini wewe umefanya - Naibu Spika, Mussa Azan Zungu.

View attachment 2143665
Huyu Mzee anazungumza maneno ya utumbo kweli .Ama kweli CCM wamempata Naibu Spika CCM Oyeee.......................
Mi nilifikiri ni uzinduzi wa mradi mkubwa wa mabilioni ya shilingi ambao utapunguza kero kwa wananchi.
Tunalijenga Taifa ni kitu adimu kweli.
 
MHESHIMIWA NAIBU SPIKA ZUNGU: MKAPA, KIKWETE, MAGUFULI HAWAJAFANYA, LAKINI AMEFANYA RAIS SAMIA.

Kwa mujibu wa historia ya nchi yetu ni mara ya kwanza Rais ambaye yuko katika madaraka anakutana na wanafunzi kama hawa leo (wenye mahitaji maalumu), nilianza kazi zangu za siasa 2000, wakati Mzee Mkapa akiwa Rais hakufanya, JK hakufanya na hayati JPM hakufanya lakini wewe umefanya - Naibu Spika, Mussa Azan Zungu.

View attachment 2143665
Haya bhana chui dume
 
MHESHIMIWA NAIBU SPIKA ZUNGU: MKAPA, KIKWETE, MAGUFULI HAWAJAFANYA, LAKINI AMEFANYA RAIS SAMIA.

Kwa mujibu wa historia ya nchi yetu ni mara ya kwanza Rais ambaye yuko katika madaraka anakutana na wanafunzi kama hawa leo (wenye mahitaji maalumu), nilianza kazi zangu za siasa 2000, wakati Mzee Mkapa akiwa Rais hakufanya, JK hakufanya na hayati JPM hakufanya lakini wewe umefanya - Naibu Spika, Mussa Azan Zungu.

View attachment 2143665

TOP 16: MAMBO ALIYOFANYA MAGUFULI NDANI YA MIAKA MINNE.​

pimbi zungu katika upupu wake
 
Muuza madawa ya kulevya mstaafu ( sina uhakika kama kastaafu ) ndio sasa amekua inner circle ya MAMA ... MUNGU ibariki Tanzania 🇹🇿
 
Back
Top Bottom