Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mi nilifikiri ni uzinduzi wa mradi mkubwa wa mabilioni ya shilingi ambao utapunguza kero kwa wananchi.MHESHIMIWA NAIBU SPIKA ZUNGU: MKAPA, KIKWETE, MAGUFULI HAWAJAFANYA, LAKINI AMEFANYA RAIS SAMIA........
Kwa mujibu wa historia ya nchi yetu ni mara ya kwanza Rais ambaye yuko katika madaraka anakutana na wanafunzi kama hawa leo (wenye mahitaji maalumu), nilianza kazi zangu za siasa 2000, wakati Mzee Mkapa akiwa Rais hakufanya, JK hakufanya na hayati JPM hakufanya lakini wewe umefanya - Naibu Spika, Mussa Azan Zungu.
View attachment 2143665
Huyu Mzee anazungumza maneno ya utumbo kweli .Ama kweli CCM wamempata Naibu Spika CCM Oyeee.......................
Haya bhana chui dumeMHESHIMIWA NAIBU SPIKA ZUNGU: MKAPA, KIKWETE, MAGUFULI HAWAJAFANYA, LAKINI AMEFANYA RAIS SAMIA.
Kwa mujibu wa historia ya nchi yetu ni mara ya kwanza Rais ambaye yuko katika madaraka anakutana na wanafunzi kama hawa leo (wenye mahitaji maalumu), nilianza kazi zangu za siasa 2000, wakati Mzee Mkapa akiwa Rais hakufanya, JK hakufanya na hayati JPM hakufanya lakini wewe umefanya - Naibu Spika, Mussa Azan Zungu.
View attachment 2143665
Huyu jamaa ni mweupe wa mwili hadi kwenye ubongo, sijui amepataje unaibu spika!Eti hawa ndio waisimamie serikali..njaa tu na kujipendekeza ndio zimejaa vichwani mwao.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
pimbi zungu katika upupu wakeMHESHIMIWA NAIBU SPIKA ZUNGU: MKAPA, KIKWETE, MAGUFULI HAWAJAFANYA, LAKINI AMEFANYA RAIS SAMIA.
Kwa mujibu wa historia ya nchi yetu ni mara ya kwanza Rais ambaye yuko katika madaraka anakutana na wanafunzi kama hawa leo (wenye mahitaji maalumu), nilianza kazi zangu za siasa 2000, wakati Mzee Mkapa akiwa Rais hakufanya, JK hakufanya na hayati JPM hakufanya lakini wewe umefanya - Naibu Spika, Mussa Azan Zungu.
View attachment 2143665
TOP 16: MAMBO ALIYOFANYA MAGUFULI NDANI YA MIAKA MINNE.