Kumbusho Dawson Kagine
Member
- Apr 25, 2013
- 19
- 29
CR Sio CjCJ ndiye aliyekosea maana alitakiwa ampatie nakala ya kiapo afuatilie kama ilivyokuwa kwa Ruto. Baada ya CJ kugundua alikuwa hajampa nakala ya kiapo ilibidi ampatie hiyo nakala kwanza ili waendelee na zoezi. CJ aliona busara ni kuanza upya.
CJ ndiye aliyekosea maana alitakiwa ampatie nakala ya kiapo afuatilie kama ilivyokuwa kwa Ruto. Baada ya CJ kugundua alikuwa hajampa nakala ya kiapo ilibidi ampatie hiyo nakala kwanza ili waendelee na zoezi. CJ aliona busara ni kuanza upya.