Equitable
JF-Expert Member
- Dec 24, 2021
- 2,017
- 5,462
Nawaza tu nanyi mnisaidie kuwaza pamoja.
Kuondolewa kwa kipara wizara ile na kuwekwa Biteko huenda ni bomu ametegeshewa ljmlipukie.
Baada ya kipara kuboronga pale na kupiga dili za kufa mtu ilibidi atafutwe mtu ambaye anaonekana kuwa na ushawishi chamani na kwa wananchi. Huyu si mwingine bali ni Dotto Biteko.
Kwa sasa ndani ya CCM anayeonekana smart ni Dotto na Bashungwa. Dotto amewekwa hapo ili mabalaa yote yaliyotengenezwa na kipara yatokee akiwa pale ili achafuke.
Dotto shtuka
1. Onesha madudu yote mapema kisha anza safari ya urais 2025 au
2. Warudishie wizara yao wasipokusikiliza.
Mipango imepangwa vizuri na kipara ili uharibikiwe njia yake iwe lami.
Tunakutegemea sana 2025.