Naibu waziri kutanguliwa na Ving'ora na Pikipiki

Naibu waziri kutanguliwa na Ving'ora na Pikipiki

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
4,698
Reaction score
1,423
Nauliza hivi,ni sawa kikatiba kwa naibu waziri kutanguliwa na ving'ora na pikipiki na watu kutakiwa kupisha barabara ili apite? Jana ijumaa 31.10.08 saa 9 mchana barabara ya morogoro karibu na fire magari yalitakiwa kukaa pembeni kwa ving'ora nikadhani anapita Raisi au waziri mkuu cha kushangaza akapita naibu waziri NW FU na msafara wa magari 6 watu wote wakashikwa na butwaa.Sasa kama viongozi wetu wote wa juu na sasa mawaziri na manaibu wao watapitishwa kwenye foleni kwa staili hii si itakua vurugu tupu?
 
Anapokuwa na suala la dharula, mfano kaitwa na Rais haraka, ama kuna jambo muhimu lazima aliwahi, nahalikuwa katika mipango yake. Inabidi aombe msaada wa Kamanda wa polisi wa mkoa, na hupewa hayo ili kumuwahisha. Nadhani itakuwa hivyo.
 
Fedha na Uchumi,atakuwa Sumari ua Mzee
 
Back
Top Bottom