Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Tambo zinazidi kurushwa, ni kweli watashinda, au mbeleko itasaidia washinde? Lucas Mwashambwa Tlaatlaah johnthebaptist
=====
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari la wapiga kura ikiwa ni maandalizi ya uchanguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.
Dkt. Biteko ametoa pongezi hizo leo Novemba wakati akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi wa Jimbo la Dodoma Mjini uliyolenga kutoa taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa Mwaka 2020 hadi 2024.
"jamani tunapokwenda katika uchaguzi kwa kawaida huwa tunaandaa hotuba mbili,tuko makundi mawili kundi la kwanza huwa linaandaa hotuba ya kushukuru kwa ushindi, na kundi la pili linaandaa hotuba ya kulalamika kwa sababu ya uchaguzi,
"mwandishi mmoja wa kitabu aliandika akasema hivi hatupangi kushindwa tunashindwa kupanga mmepanga kushinda na yule aliyepanga kushinda atashinda na yule aliyejipanga kulalamika atalalamika,nikiangalia namna naona uchaguzi wa Serikali Mitaa na uchaguzi Mkuu tutashinda" Amesema Dkt Doto Biteko