Suley2019 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2019 Posts 2,203 Reaction score 5,610 Oct 11, 2024 #1 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko ameshajiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa kwenye katika kitongoji cha Bulangwa wilayani Bukombe mkoani Geita leo tarehe 11.10.2024.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko ameshajiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa kwenye katika kitongoji cha Bulangwa wilayani Bukombe mkoani Geita leo tarehe 11.10.2024.
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Oct 11, 2024 #2 Kumbe kupanga foleni inawezekana
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Oct 11, 2024 #3 😄 ngoja tuone bongo movie za kila aina Ova
Riskytaker JF-Expert Member Joined Mar 14, 2024 Posts 568 Reaction score 2,522 Oct 11, 2024 #4 kumbe wasukuma walimwachia mjita awaongoze kaz nzuri