Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ni Turufu Kuu ya Rais Samia katika kupata Kura nyingi za Kanda ya Ziwa

Kanda ya Ziwa ni Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Mara. Sasa mikoa hiyo mingine ilifaidi nini wakati wa jiwe ambaye yeye alipendelea kwake alikotoka, sasa usijumlishe eti kanda ya ziwa kokote kwenye sehemu husika.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Magufuli alikuwa Msukuma? Mrundi anakuwaje Msukuma?

Halafu msijizime data, labda ya ziwa si ya wasukuma pekee, kuna Mara na Kagera, acheni kujipaisha kiboya.

Kama mnaamini Wasukuma mpo wengi daini Jamhuri yenu.
Mbona una one kana una hasira?, kwani ukichangia tu taratibu na kwa umakini,huwezi kueleweka?!. Na kwaa taarifa yako,ukweli huwa hautetewi,hujitetea wenyewe.
 
Kanda ya ziwa siyo ya wasukuma tu kuna makabila mengine na hata wasukuma wengine unaowataja walimuona huyo jamaa kama kawatupa anaendeleza kwao chato.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…