Naibu Waziri Mkuu wa sasa ndie Waziri Mkuu ajae wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

kwa maslahi mapana labda ya chama sio watanzania. Sijajua nani aliwamezesha sumu hii, kutusemea ili hali mnachokisema hakitoki kwa watanzania bali kwako.
 
Hakuna hiyo,kwasababu ccm hawatashinda uchaguzi mkuu mwaka huu. Itakuwa historia kubwa sana kuwahi kutokea.
ccm ishindwe uchaguzi ?acha Kubota kura hazipigwi space ,insta,jf .Kwanini ujidanganye jiambie ukweli.Mwenyekiti wa tume ipi ya uchaguzi Tanzania anaweza kuthubutu kumtangaza mpinzani kashinda?
 
Hakuna waziri mkuu au makamu wa Rais atakuja kuwa Rais labda Rais
aliye Madarakani afe ndio makamu atakuwa Rais.Hii nchi ina mifumo yake ambayo haijaandikwa popote ila ni RASMI machoni Kwa wafanya maamuzi(kamati kuu ya ccm)
Kamati kuu katika level ya nchi haina jipya kuhusu unayoyasema.

NI DEEP STATE, na BARAZA BLABULINZI NA USALAMA WA NCHI.

Hawa miamba ndiyo kila kitu, Ndio watakaokuja kumwambia Samia kabla bya mwezi wa tano agombee au asigombee.kamati kuu ni tone la maji tu mbelee bya Deep state......πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸš΄πŸš΄
 
Hamna kitu pale si aliambiwa ashughurike na Taneseco mbona imemshinda Kila siku Tanesco wanakata umeme bila ya sababu za msingi
 
Safii sana, Kama TANESCO inamshinda hakuna atakaloweza kwenye U PM !!
 
Hakuna waziri mkuu au makamu wa Rais atakuja kuwa Rais labda Rais
aliye Madarakani afe ndio makamu atakuwa Rais.Hii nchi ina mifumo yake ambayo haijaandikwa popote ila ni RASMI machoni Kwa wafanya maamuzi(kamati kuu ya ccm)
Hhi ni kukariri tu, Wala hakuna madhara ya namna yoyote ya hao ulowataja kugombea na itakuja ona awamu ijayo itakuwa tofauti.
 
Ni kama uchaguzi utakuwa wa HURU na haki, pia uwazi.
 
Hhi ni kukariri tu, Wala hakuna madhara ya namna yoyote ya hao ulowataja kugombea na itakuja ona awamu ijayo itakuwa tofauti.
Kama haujui ndio vitu nec wanajadili ,akitoka mwislamu ni mkiristo na vice versa haijaandikwa popote ndio utaratibu
 
Halafu wote ni Drs
 
Duh...mbona paragraph ya Mwisho umeamua kuyagawa maeneo tajwa na watu wake...nadhani ungesema tuu kwamba vetting organs wawe makini kwa viongozi wanaoteuliwa au kupewa nafasi za maamuzi...unaweza kutokea ata Dodoma,Tabora au Kizimkazi na still ukawa huna vigezo..ila kuwa single out watu uliowataja kwa ujumla sidhani kama utakua umewatendea haki... unless unataka ku-declare maeneo tajwa sio sehemu ya Jamhuri!?
 
Na mgombea mwenza (makamu wa Rais) aliyependekezwa ndiye mgombea urais wa awamu itakayofuata.
Na ndie atakua makamo wa kwanza wa raisi bila kuchaguliwa, pia atakuja kua raisi bila kuchaguliwa kwa kigezo cha kupeana/kurithishana madaraka kwa fomu moja tu ya ugombea ndani ya chama

Hiki kirusi cha mfumo huu wakiteketeze mapema, mbele sio pazuri kwa formation hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…