Naomba nimkumbushe Naibu Waziri wa AFYA juu ya kauli zake mbili tofauti juu ya chanjo kwa marais wawili ndio zinazomfanya Askofu Gwajima alipuke na Kuwambia viongozi waache vigeugeu.
Wakati wa utawala wa Magufuli Naibu Waziri mollel alipinga chanjo
Wakati wa utawala wa Samia, Naibu Waziri Mollel anaikubali chanjo.
Misimamo huwa inabadilika hivyo hakuna cha ajabu labda angekuwa anakwamisha zoezi la chanjo kwa aina yeyote ile hapo ndio angetakiwa kujiuzulu, maana hata huyo Mama samia nae kabadili misimamo ya kuhusu corona alipoingia yeye ikulu.
Ili Mh. Rais Samia Suluhu Hassan apambane na Covid ipasavyo na bila Wananchi kuhoji hoji maswali ambayo mawaziri waliopo wanashindwa kuyajibu ni bora akawapangia majukumu mengine Mawaziri wa Wizara ya Afya.