DOKEZO Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ukitaka kujua taifa la wafiraji na wafwiraji angalia aina ya adhabu wanazopenda watu kufanyiana lazima zihuishe njia ya haja kubwa. Watu wa namna hiyo yu mkini bila shaka yoyote ni watu wanaopenda masuala ya ulawiti direct or indirect.
Inawezekana MHESHIMIWA watu walisha safisha mtaro na rungu waka spray na malinda yote hayapo sasa anataka kila mtu nae linda lichanike[emoji23]
 
...Hujaeleweka...

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 

Mbona ni habari ya upande mmoja tu?
 
Tumerudi kule kule enzi za 'unanijua mimi nani'.

Kwa awamu hii hakuna la mno tulitarajie. Kwa vile limesikika na halaiki cha zaidi dogo atatishwa zaidi asiongee na itaishia hivyo hivyo.

Anaepaswa kuwa mtetezi wa wananchi hana hata habari, bora miamala yake isome tu.

Tanzania tunapitia kipindi kigumu mno kwa sasa.
 
Waziri akamatwe nchi hii? Kama mtoto wa waziri, aliwatukna polisi tena kwenye ofisi yao, na, wakaishia kutoa macho tu! Hii itapita tu,
IPO siku tutafikia hatua kama South, ukinifanyia unyambisi, jamaa zangu wanakuwinda, wanakupa chuma tu!
 
👍👌👏🙏
 
👍👌👏🙏🎁
 
Una tatizo la akili. Tafakari
Unajuaje?

Vipi kama hao watu wamebaka mtoto wa miaka 10 halafu polisi wamewaacha.

Au unadhani ni hisia zipi zinawafanya wananchi waamue kumalizana na watu kama hakina ‘Ali Dangote’ wenyewe; wakati kuna jeshi la polisi.

Usiwe na opinion kwa mambo usiyoyajua, wala kuwapa label watu ambao huwajui.
 
Wanaharakati wainuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…