Naibu Waziri Pinda akutana na watumishi wa sekta ya Ardhi Kigoma

Joined
May 14, 2024
Posts
94
Reaction score
75
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amekutana na kufanya kikao na watumishi wa sekta ya ardhi mkoani Kigoma leo tarehe 6 Julai 2024.



Katika kikao hicho Mhe. Pinda alipata fursa ya kusikiliza changamoto za watumishi katika mkoa huo kwa lengo la kuzitafutia ufumbuzi.



Akiwa mkoani Kigoma Mhe. Pinda mbali na mambo mengine atashiriki ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Philip Mpango iliyotarajiwa kuanza hivi karibuni.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…