Naibu Waziri Silinde awataka Makatibu Tawala, Wakuu wa Idara na Mamlaka Serikali za Mtaa kudhibiti uvujishaji wa Nyaraka za Serikali

Naibu Waziri Silinde awataka Makatibu Tawala, Wakuu wa Idara na Mamlaka Serikali za Mtaa kudhibiti uvujishaji wa Nyaraka za Serikali

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia elimu, David Silinde amewataka Makatibu Tawala, Wakuu wa Idara katika Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kudhibiti uvujishaji wa siri na nyaraka za Serikali kwakuwa suala hilo bado ni changamoto.

Mhe. Silinde amesema hayo Februari 23, 2023 Jijini Dodoma wakati akifungua Kikao Kazi cha Wakuu wa Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu Sekretarieti za Mikoa na Mmlaka za Serikali.

Amesema, hali ya utunzaji wa nyaraka hauzingatiwi kama inavyotakiwa katika maeneo wanayosimamia.

“Bado kuna baadhi ya watumishi mnaowasimamia wanabeba majalada ya siri yakiwa hayajafunika, wengine wanakwenda na nyaraka za Serikali nyumbani”

Wanajamvi, tujadili kidogo kwanini nyaraka za serikali zinavuja mara kwa mara?

Secret.jpeg
 
Kufuga ufisadi TU ,kwanini mlisaini Vienna Treaty huku mkiapa kuwa na Accountability and Transparency...

Kodi zetu mnakula kwa pupa huku mkidai usiri .
 
Kufuga ufisadi TU ,kwanini mlisaini Vienna Treaty huku mkiapa kuwa na Accountability and Transparency...

Kodi zetu mnakula kwa pupa huku mkidai usiri .
Heeeee
 
Back
Top Bottom