GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Naibu Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel amesema katika kipindi cha Januari hadi Desemba mwaka 2022 jumla ya kondomu 111,984,600 zilisambazwa nchini ili kuongeza mapambano dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI.
Chanzo: ITV Tanzania
Na kwa ninavyowajua Watanzania (Wabongo) kama kuna zilizotumika kwa mwaka huo mzima wa 2022 (mwaka jana) ni 9 au 13 tu na zilitumika kwa tabu na kulazimishana mno.
Nani kakwambia na kukudanganya kuwa wanaume wa Kibongo (GENTAMYCINE nikiwemo) tunapenda 'ndomu' tukiwa katika mibanduano na mitinduano?
Hapa mambo yote ni minyama ndani, minyama nje na wengineo ni wadau wa 'Dry Chama TANESCO' siku zote ili tuusikie utamu wa kiuumbaji.