Kwanza naomba nimwambie huyo waziri kuwa uponyaji wa UTI kwa njia ya centrifugation ndio ulihitaj masaa yote hayo 72, existing technology unahitaj reagent tuu kuweka mkojo kwenye mashine na jibu likapatikana dk hiyo hiyo. Ikiwa malaria tuliyokuwa tunasubiria majibu kwa masaa kisa process , staining zilikuwa ndefu, HIV the same Leo hii haichukui hata dk kupata majibu yy anaturudisha kule kule. Hivi kwann hawaendi basi hata mahospitalini kuona mashine zilizopo? Ili wahiridhishe kwa vitendo?Hapa tunahiaji majibu ya kitaalamu.hawa wanasiasa....Wa atupoteza
Nashkuru kwa majibu ya kitaalamu.Kwanza naomba nimwambie huyo waziri kuwa uponyaji wa UTI kwa njia ya centrifugation ndio ulihitaj masaa yote hayo 72, existing technology unahitaj reagent tuu kuweka mkojo kwenye mashine na jibu likapatikana dk hiyo hiyo. Ikiwa malaria tuliyokuwa tunasubiria majibu kwa masaa kisa process , staining zilikuwa ndefu, HIV the same Leo hii haichukui hata dk kupata majibu yy anaturudisha kule kule. Hivi kwann hawaendi basi hata mahospitalini kuona mashine zilizopo? Ili wahiridhishe kwa vitendo?
Umenichekesha nduguNdio maana kila nikienda kupima,naambiwa nina Uti mara ya mwisho nikamwambia Dokta sitaki Dawa yoyote na sinywi tena dawa inayoitwa ya Uti.
Gonjwa gani linagomea dawa mwaka na ushee.
Huu mwez wa 8 sijapima,Sinywi dawa,ni siumwi hayo madude.
Sitakiiii kabisa
kidogo nile muzizi za kimasai nisingekaza msimamo.
akili yangu leo imechoka,yaani badala ya kuzingatia ulichoandika nimekimbilia kuangalia avacha yakoJaman hivi regardless of technology and the existing diagnostic machines,?