CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Wapendwa,
It is a pity kuwa naibu waziri wa elimu kwa kutafuta cheap popularity anamtelemsha cheo Mwalimu Mkuu wa sekondari huko Korogwe bila kumsikiliza ili aonekane anafanya kazi. Unakuwa driven na mganga wa kienyeji, maji marefu unamhukumu mtu!!!Huwezi kumhukumu mtu bila haki yake ya kisheria ya kusikilizwa!! Mnawakatisha tamaaa hawa watu. CCW liangalie hili mlikomeshe. walimu mtaonewa mpaka lini. Inabidi usikilizwe kabla ya kukuhukumu. Hopeless!!
HESHIMA MBELE MKUU!
Ingawa nipo mbali na Bongo, nami nimezipata habari hizi jana. Ni shule ya sekondari Mkomazi.
Tatizo la viongozi wa serikali hii ya MAGAMBA wameshindwa kutatua matatizo yanayo likabili taifa kwa ujumla. Kilicho baki kwao ni ku-deal na matokeo ya matatizo badala ya ku-deal na chanzo cha matatizo. Hivyo, kwa kwa sasa njia waliyo nayo ni kutafuta mchawi ili wambambikizie kwamba yeye ndiye chanzo cha kushindwa kwao.
Ili siri iliyo vuja baada ya kile kikao cha majumuisho yao pale H/shauri Korogwe jumamosi ya tarehe 18/02/2012, Mheshimiwa alikuwa ameenda KUZINDIKWA na Profesa Long Water ili asije tupwa kwenye mabadiliko ya baraza lamawaziri lijalo.
Hivyo, ili kuficha ukweli, jamaa kaona atafute issue itakayo vuma kwa haraka ili aonekane ni kweli amekwenda Korogwe kikazi, na hatimaye kumshusha cheo mkuu wa shule.
Jamaa wanakwambia chale za kuganwa zilikuwa mbichi kabisa hiyo j'mosi ya 18/02 mkutanoni.
Magamba kazi wanayo.
Nawasilisha.

Eti anataka kuiga utendaji wa Naibu Waziri wa TAMISEMI Aggreu Mwanri. Tatizo huyu Mulugo kisomo not reacheable kabisa, anakurupuka tu na hajui gharama ya mambo anayofanya