[h=3]Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo anadaiwa kutumia ujanja katika wasifu na elimu yake ambapo katika maisha yake ya kielimu ametumia majina manne tofauti.Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi see more[/h]
Kwa kweli kama ni kweli ingefaa ajiuzulu. Hivi msimamizi wa elimu nchini anapokuwa ndiye mtu wa kutumia vyeeti vya wengine atawezaje kusimamia ubora wa elimu?