Naibu Waziri wa Elimu Omari Kipanga: Wanafunzi wenye watoto wanapewa nafasi ya kunyonyesha

Naibu Waziri wa Elimu Omari Kipanga: Wanafunzi wenye watoto wanapewa nafasi ya kunyonyesha

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Serikali imeweka mazingira rafiki kwa wanafunzi wenye watoto wachanga kupitia elimu nje ya mfumo rasmi, ili kuwawezesha kunyonyesha watoto wao kwa wakati wanapoendelea na masomo.

Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu Najma Giga bungeni leo, Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga, amesema kuwa wanafunzi wanaorejea shule baada ya kujifungua hawaruhusiwi kwenda na watoto wao, bali wazazi wao wanapaswa kusaini makubaliano ya kuwalea watoto hao.

Katika swali lake la msingi, mbunge huyo alitaka kujua Serikali imejipangaje kuhakikisha watoto wachanga wa wasichana wanaoendelea na masomo wananyonya maziwa ya mama zao kwa wakati.

Mwanafunzi anaenda kumnyonyesha mwanae nyumbani, akifika anamkuta Baba anahamu ya kumzibua mtoto masikio, Yakishazibuka Kisha mama anarudi Tena darasani kula pindi.

Aisee walimu Kazi mnayo
 
Mwanafunzi anaenda kumnyonyesha mwanae nyumbani, akifika anamkuta Baba anahamu ya kumzibua mtoto masikio, Yakishazibuka Kisha mama anarudi Tena darasani kula pindi.

Aisee walimu Kazi mnayo
 
Kuna haja gani ya kuendelea kuwepo adhabu ya kifungo cha miaka 30 kwa kutia mimba mwanafunzi kama haki yao ya kupata elimu haikatishwi na ujauzito kwa sasa?

Usiniambie ni under age sababu ukimtia mimba wa umri huohuo aliye nje ya mfumo wa shule siyo kesi mtaani.

Kama Kishimba angechangia hii hoja,hayo ndiyo yangekuwa maoni yake!
 
Mwanafunzi anaenda kumnyonyesha mwanae nyumbani, akifika anamkuta Baba anahamu ya kumzibua mtoto masikio, Yakishazibuka Kisha mama anarudi Tena darasani kula pindi.

Aisee walimu Kazi mnayo
Masikio gani mkuu?
 
Back
Top Bottom