Haya mama pole, hahahaha eti umekaa kaunta mhudumu anakuja anadeka umnunulie mchemsho haya ndo mapenzi ya dhati kweli?
Na kweli machungu yote ya mwanzo utayasahau..Lakini sahau hiyo aghlabu huwa ya muda kwani virusi vya ukimwi vitakapoanza kuwameng'enyua, tatizo litakuwa kubwa zaidi na zaidi kuliko mwanzo. Dawa ni kuchukulia hali hiyo kama changamoto ambayo yahitaji busara na welewa katika kukabiliana nalo...peleleza nini kinachomkinaisha..ukikifahamu ziba pengo hilo kwa ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya zaidi. Achana na wanaokulengeshea nje..utaukwaa upupu!usidanganyike dia, tafuta wa kukuliwaza la sivyo utarun crazy, mwenzio yalinikuta tena makubwa kuliko yako, lakini once nilipata faraja mahala pengine mbona ndoa inadumu na ina zaidi ya miaka 12, go out there and find a someone, haitachukua muda kabla hujasahau shida zote.
Kupunguza ni kutafuta sehemu ya kuyaelekeza......
Unatafuta mtu mwenye extra kuzidi ya mumeo...game over....lol
Kupunguza ni kutafuta sehemu ya kuyaelekeza......
Unatafuta mtu mwenye extra kuzidi ya mumeo...game over....lol
yani the boss hilo jibu ulilompa ni sahihi kabisa atafute kipoozeo la sivyo atazidi kuona maisha magumu sana
yani the boss hilo jibu ulilompa ni sahihi kabisa atafute kipoozeo la sivyo atazidi kuona maisha magumu sana
Na kweli machungu yote ya mwanzo utayasahau..Lakini sahau hiyo aghlabu huwa ya muda kwani virusi vya ukimwi vitakapoanza kuwameng'enyua, tatizo litakuwa kubwa zaidi na zaidi kuliko mwanzo. Dawa ni kuchukulia hali hiyo kama changamoto ambayo yahitaji busara na welewa katika kukabiliana nalo...peleleza nini kinachomkinaisha..ukikifahamu ziba pengo hilo kwa ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya zaidi. Achana na wanaokulengeshea nje..utaukwaa upupu!
yani the boss hilo jibu ulilompa ni sahihi kabisa atafute kipoozeo la sivyo atazidi kuona maisha magumu sana
Dah kila kukicha kina mama na malalamiko..
mimi huwa najiuliza tunapoelekea jf inaweza kuwa 'not good for your relationship'?????
kwa sababu unakutana na mambo mengi negative hadi na wewe 'yanakuingia'???
usidanganyike dia, tafuta wa kukuliwaza la sivyo utarun crazy, mwenzio yalinikuta tena makubwa kuliko yako, lakini once nilipata faraja mahala pengine mbona ndoa inadumu na ina zaidi ya miaka 12, go out there and find a someone, haitachukua muda kabla hujasahau shida zote.
wapo wababa wameoa 'wanawake full mcharuko'
lakini husikii wakilalamika sana...
yani the boss hilo jibu ulilompa ni sahihi kabisa atafute kipoozeo la sivyo atazidi kuona maisha magumu sana