Naichukia ndoa yangu..

'Naichukia ndoa yangu' si neno zuri hata kidogo, tema mate chini...nyie mna shida ktk mawasiliano, unataka uwe mwalimu wake naye hataki....pamoja na 8yrs ya ndoa nina mashaka hujawahi fika kileleni?..hebu jibu hili..
 
Mtose na njoo nikupe mambo
OTIS.
 
siku moja kaa naye,mwangalie machoni mtamkie 'nakupenda sana darling' ......hakikisha naye anakuangalia machoni

Siku moja vua nguo zote ubaki kama ulivyozaliwa, muulize wapi mwenyezi Mungu alikosea? Muulize pia kipi kimebadilika alichokupendea na sasa kimetoweka, usione aibu, behave kiwendawazimu msasambulie kila sehemu halafu ulete majibu hapa.
 
ushauri ndo huu...
kumbe una akili caro????
 
Kaka,nadhani ule uzi wa bishanga unahusika vile,lol!
Seriously mtoa mada, una miaka 29 ya umri na unasema mumeo hakui! Kwani ana umri gani?

kukua mkuu sio miaka, bali ni kupevuka kiakili ambako hakutegemeani sana na umri. Unaweza kukuta kinda la miaka 17 unajadiliana nae mambo ya maana huku akitoa changamoto na ukashindwa kupata changamoto toka kwa mtu mwenye 25++! Kwangu mimi, huyo 17 ameshakuwa na huyo 25 bado kabisa!!!!
 
Tatizo lako/lenu mmemwangalia mama Clea kama saint.. Kwanza ulikosea kwenda kwa mtaalamu peke yako. Mara nyingi atakufavor wewe.Nenda na mumeo. Pili,hukusema anachokuchukiza,mfano, ulevi,au uzinzi ambao unaugundua kupitia simu yake,akijisahau na kurudi na condom unapomkagua,ama anaporudi na perfum,peni nzuri,simu,hata zawadi yako ya hereni,mkufu,bangili,n.k. huamini kama kanunua mwenyewe..
Tatu umesema ana ujana. We unaita ujana pengine ni mcheshi sana kwa kila mtu[wake kwa waume].. Ana porojo,utani na vichekesho,ambapo ndivyo unavyompendea lakini hupendi tena kwa sababu anatoa manjonjo yake hayo unapokuwa naye,na mbele za watu wengine,wake kwa waume ambao hufurahi sana na kusikitika mnapoaga na kuondoka eneo hilo.. Kwa maelezo hayaNne,huenda anaporudi huwa unamnunia hata salamu yake huitaki na kugeuka na kulala mzungu wa nne, ili tu ajue kuwa umekasirika..JIULIZE WEWE MWENYEWE UNA TATIZO GANI?NA UTAWEZA TU KULITATUA.
 
Kuna uwezekano Baba Clea ame-login hapa and looks like "Things Have fallen Apart" !!!
 
Huyo mtaalamu kakudanganya..niulize kwanini?

mkuu hawezi kukujibu wala kukuuliza...sijui mtaalamu gani huyo saikolojia alimwambia juu ya hiyo asilimia 75.......maisha haya!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…