Umoja wa Serikali za Wanafunzi Zanzibar.uliojitokeza na kutamba kuwalinda wanafunzi wa Zanzibar imekaa kimya bìla ya kutoa tamshi lolote au kusaidia kuchukuliwa hatua za kisheria kwa kondakta aliyemchanja mwanafunzi kisu cha pua na kumsababishia maumivu,na kukosa vipindi kadhaa darasani.
"Nakuchukieni USEWAZA na sitoweka imani yangu tena kwenu,kazi kutamka maneno bila ya kuchukua matendo"alisema Muharram Said Ali wa Lumumba Sec School baada ya kusimuliwa mkasa huu.