Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Katika ujana wangu nimepita kwa makabila mengi kiasi kwa mtindo wa eat and run, sasa umri umekwenda. Kwa utashi wangu katika makabila yote, nilifurahishwa na mapenzi ya hayo kabila tajwa hapo juu, wamanyema pia nawapa kipao mbele.
Naomba msichana mwenye umri kati ya miaka 23 mpaka 27 anaye itaji mume wa kuolewa naye, ani PM nipo tayari.
Sifa nazoziitaji
Awe tayari kupima,
Dini aina kigezo
Elimu aina kigezo
Awe na unyenyekevu
Mpole kiasi