Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Katika ujana wangu nimepita kwa makabila mengi kiasi kwa mtindo wa eat and run, sasa umri umekwenda. Kwa utashi wangu katika makabila yote, nilifurahishwa na mapenzi ya hayo kabila tajwa hapo juu, wamanyema pia nawapa kipao mbele.
Naomba msichana mwenye umri kati ya miaka 23 mpaka 27 anaye itaji mume wa kuolewa naye, ani PM nipo tayari.
Sifa nazoziitaji
Awe tayari kupima,
Dini aina kigezo
Elimu aina kigezo
Awe na unyenyekevu
Mpole kiasi
Sasa wewe unataka mke ama kabila?
Ndugu yangu kuna siri gani huko kwa wajita! au unapeta mofologi !!!!
Ladha zao tofouti na kwingine kwingi, hakshiii zinavyo wapanda pindi wakishulika ni burudani tosha kwa mpewa huduma
Katika ujana wangu nimepita kwa makabila mengi kiasi kwa mtindo wa eat and run, sasa umri umekwenda. Kwa utashi wangu katika makabila yote, nilifurahishwa na mapenzi ya hayo kabila tajwa hapo juu, wamanyema pia nawapa kipao mbele.
Naomba msichana mwenye umri kati ya miaka 23 mpaka 27 anaye itaji mume wa kuolewa naye, ani PM nipo tayari.
Sifa nazoziitaji
Awe tayari kupima,
Dini aina kigezo
Elimu aina kigezo
Awe na unyenyekevu
Mpole kiasi
Duh! labda. lakini si inabidi uwe umejaribu makabila kadhaa! jee wewe ulishafanya survey kidogo!!!
Usije ukawa ni bondia unatafuta punching bag
Lakini hawa si wanafyekwaga FM stereo na ngariba?