Naijutia sh.30000 yangu

shauri yako sasa kaa hivyo hivyo wewe si umekariri endelea kukariri!!
 
Pamoja na kukosa mkopo naommba usijutie 30 yako maana imekusaidia kukutuliza kiakili. Naamanisha kama usingeshiriki kwenye mchakato huo ungedumu ukijilaumu na kujiona ulizembea pndi ambapo wenzako wenye sifa kama zako wangefanikiwa. ila kwa hiyo 30 inaonyesha uzembe haukuwa kwako na hivyo itakuuma kwa muda tu na utasahau. (Pia 30 imehamisha lawama toka kwako kwenda kwa bodi). hiyo ndio kazi ya 30 yako. POLE SANA
 

Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…