Nail artist(Mtu wa kutengeneza kucha) anahitajika haraka..

Nail artist(Mtu wa kutengeneza kucha) anahitajika haraka..

miss_monrhoe

New Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
3
Reaction score
2
Anatafutwa mtengeneza kucha.Atakuja siku nne za mwisho wa week tu. Siku nyingine akafanye issues zake.Kwa maana kwamba atafanya kazi siku 16 tu za mwezi. Mshahara atachagua alipweje.

1. 200,000 Tshs kwa hiyo Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili atakayokuja.
2. Hakuna mshahara wala nauli,anachukua 30% ya kila kazi anayofanya
3. Awe anapewa nauli 5,000 kila siku anayokuja kati ya hizo siku 4 za week,na 15% ya kila anachokifanya.
Chakula cha mchana kiko ofisini.

Ofisi iko Dar es salaam maeneo ya Mikocheni.Kama ni wa kike anaweza patiwa chumba cha kulala huko huko Mikocheni.

Ukiwa interested wasiliana na namba ni 0717912443 au +255763143834.

Mazungumzo yanakaribishwa
 
Back
Top Bottom