hapo kwenye intelijensia uwt umewaonea. sio kazi yao na nadhani hawana ujuzi huo. tuulize wahusika kwanza
Ahahahaah!! UWT, nilidhani ni ile ya mama Sophia Simba.Kwa kusema UWT, he refers to Usalama Wa Taifa, so kimsingi wanalo la kujibu.