Naimani yuko hapa!

Naimani yuko hapa!

Adimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
661
Reaction score
297
Niende moja kwa moja kwenye point!

Ni wakati muafaka sasa baada ya kupitia changamoto nyingi sana kwenye kumpata mtu sahihi wa kupanga nae malengo aje kua mke siku za usoni, leo nakuja mbele yenu nikiamini yupo humu bado kunifata tu pm!

Mimi ni muajiliwa kampuni flani ya binafsi ingawa napenda sana kua mfanyabiashara na malengo yangu ni kumpata mwenza nitakaeshirikiana nae kwa ukalibu kwenye kufanikisha malengo yetu (hasa awe na malengo chanya kwenye swala la ujasiliamali) na kisha tujenge familia bora na yenye amani!

Sifa za ninaemtafuta!

1) Busara na uwezo wa kufikili, mwenye kuhimili changamoto za kimaisha.

2) Elimu sio kigezo kikubwa japo ata form four sio mbaya

3) Dini yoyote ingawa akiwa islamic bas awe tayari kubadili dini.

4) Umri kati ya miaka 18-27

NB: Mengine yatawekwa sawa mbele ya safari!

Elimu yangu ni chuo kikuu na nnajitegemea, kwaupande wa kipato ni kipato cha wastani tu kinachoniwezesha kupata maitaji yote muhimu na kufanya pia mambo mengine ya kimaendeleo!

Karibu sana!!!
 
Naamini mtu sahihi wakuwa naye kwa maisha bora ya baadaye ni yule ambaye unamfahamu fika tabia yake.
"kosea vitu vyote ila usikosee kuoa"
 
Back
Top Bottom