Naingia kimya kimya

NITIKE NDOSI

Senior Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
153
Reaction score
86
Hi guyz,
Nimeamua kuingia kimya kimya ili nisiwadisturb kwa kugonga milango ya hodo!
 
naloli uli ndosi..!?? karibu sana
 
Karibu jf place where!unaweza kunenepa lol!
 
nami nakukaribisha kimya kimya, wenzio nawakaribisha na matarumbeta!!
 
Du! ntayamiss hayo matarumbeta, najuta kuingia kimya kimya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…