Naingia kwa kunyata

Grenade

Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
79
Reaction score
72
Hellow wadau! mdogo mdogo naingia JF, msihofie nlivoingia kwa kunyata! npokeeni wadau.
 
Grenade vp tena kunyata?? unataka lipua humu nn?
 
STOP!!!! Ingia kimgongo mgongo taratiiibuuu afu vitambaa vyakijani haviruhusiwi wakulu wanagoma kabisa
 
STOP!!!! Ingia kimgongo mgongo taratiiibuuu afu vitambaa vyakijani haviruhusiwi wakulu wanagoma kabisa

Aah.. kimgongo mgongo?? haiwezekani.. au ndo freemason nn apa??
 
habarini Waheshimiwa. naombeni nafasi walau kushirikishana katika jukwaa hili tukufu la jamii. Hongereni sana nyie mliotangulia, naamini mimi pia nitakuwa useful kwa machache
 
Karibu mdau wa kileo, na natabiri utatembea sana jukwaa la siasa karibu tukuvune nawe uvune maarifa!
 
Thanks 2 all.. 2ko pamoja kuleta changes in all aspects
 
mwe! Ata me nmeingia leo lakin mwendo wako unantisha mwenzio ka mwiz vile!!!
Ooops!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…