Naingia Town

Naingia Town

Sokwe Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
576
Reaction score
297
Wakubwa wapenda nchi naomba kuingia jamvini, nawaletea salamu nyingi sana toka Porini..........
 
Thank you Belinda, wewe umekuwa wa kwanza kunikaribisha utapata muhogo kama zawadi........

Muhogo upi tena huo Sokwe wa Town?

Mimi nkukaribisha lakini sitaki muhogo tafadhali labda unipe dafu
 
Sokwe wa Town ana undugu na Nyani?

Kaka NN
siku hizi vijana wanakosa nidhamu eeh?

Hivi wanajua mahusiano ya Sokwe na Nyani yalivyo lakini au wanasema tu?
 
Fidel80 huna chako tena jamaa ndio ameingia kwenye game, nina uhakika atampiku hadi Masanilo kwa jinsi huyu Sokwe anavyopenda ule mtandao wa kuji-express urself
 
Back
Top Bottom