ANOLD MEDIA
Member
- Mar 31, 2021
- 8
- 8
Sasa laki nne nayo hela ya kutaka ku motivate watu.Unaweza kuchukua mzigo wa 50,000 ukatengeneza faida mara mbili, kwahiyo unaweza kutengeneza 100,000 hadi 120,000 na ukija kutoa faida unajikuta na 60,000 faida kwa siku kama mzigo ukiisha lakini"
siwezi kukubali (kuajiriwa0 maana nikipiga hesabu kwa mwezi ninauhakika wa kuingiza 400,000 kwa mwezi lakini kama anajitokeza kunilipa juu ya 400,000 hapo naweza kumuelewa", amesema Elias Mkika, mfanyabiashara wa Mahindi, matunda na karanga jijini Dar es Salaam
View attachment 3453033
aNgejua kuna wahuni wanapiga mpaka laki 2 kwa siku na hawajawekeza chochote yaan ni connection tu hawez amin na atajiona kumbe badoSasa laki nne nayo hela ya kutaka ku motivate watu.
Eti ya kuchomaMahind haya haya ya dona au ya sembe hayo!!!
Unaweza kuchukua mzigo wa 50,000 ukatengeneza faida mara mbili, kwahiyo unaweza kutengeneza 100,000 hadi 120,000 na ukija kutoa faida unajikuta na 60,000 faida kwa siku kama mzigo ukiisha lakini"
siwezi kukubali (kuajiriwa0 maana nikipiga hesabu kwa mwezi ninauhakika wa kuingiza 400,000 kwa mwezi lakini kama anajitokeza kunilipa juu ya 400,000 hapo naweza kumuelewa", amesema Elias Mkika, mfanyabiashara wa Mahindi, matunda na karanga jijini Dar es Salaam
View attachment 3453033
laki 2 kwa siku kwa miaka mitano mfululizo unajenga nyumba 2 unanunua gari na unafungua biashara nyingineaNgejua kuna wahuni wanapiga mpaka laki 2 kwa siku na hawajawekeza chochote yaan ni connection tu hawez amin na atajiona kumbe bado