Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
mandugu Msaada Huu mtambo uko mbioni nauingiza mikoa yote....Mbege, Machozi ya Simba aka Sophia, Kaskazin, Nyanda za juu kusini, kanda ya ziwa, pwani, je itapokelewa vilivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
New level of Gongo, Rev Masanilo sasa kazi kwako mkuu maana ulilalamika sana pombe gani sasa naja kuwashika wote to another level.....Ilemela mlihoyi? Arusha Shimboni? kazi kwenu, nimeusomea miaka miwili kuuendesha si utani, machozi ya chui haya sio ya Simba tena....
Haahaaaa!!!!!!!!!!! Umeipata ile-prayer yake ya mipombe????? Hakika Rev. itamfaa.
Ila mkuu usihofu kuhusu biashara, hii ngoma italipa vibaya. Alafu inaonekana hutahitaji kupeleka bidhaa inayotengenezwa na mtambo huu mahali popote ili kuthibitishwa ubora
sina la kusema, nadhani Tonge atatufafanulia maana machozi ya simba ndo yalimpeleka shule, sasa kama mnalet machozi ya chui sijui ajira ya babu yake itakuwaje.