NaInvest hapa je nitapata CUSTOMERS....

Magulumangu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
3,051
Reaction score
461



mandugu Msaada Huu mtambo uko mbioni nauingiza mikoa yote....Mbege, Machozi ya Simba aka Sophia, Kaskazin, Nyanda za juu kusini, kanda ya ziwa, pwani, je itapokelewa vilivyo?
 
New level of Gongo, Rev Masanilo sasa kazi kwako mkuu maana ulilalamika sana pombe gani sasa naja kuwashika wote to another level.....Ilemela mlihoyi? Arusha Shimboni? kazi kwenu, nimeusomea miaka miwili kuuendesha si utani, machozi ya chui haya sio ya Simba tena....
 


Haahaaaa!!!!!!!!!!! Umeipata ile-prayer yake ya mipombe????? Hakika Rev. itamfaa.

Ila mkuu usihofu kuhusu biashara, hii ngoma italipa vibaya. Alafu inaonekana hutahitaji kupeleka bidhaa inayotengenezwa na mtambo huu mahali popote ili kuthibitishwa ubora
 
sina la kusema, nadhani Tonge atatufafanulia maana machozi ya simba ndo yalimpeleka shule, sasa kama mnalet machozi ya chui sijui ajira ya babu yake itakuwaje.
 


Ubora wake wa juu kiama mzee, nimeikamulia two years mzee najua how to make it na mitambo iko njiani, TBS lazima hapa waagize vifaa vingine maana imeover do walizonazo....hahahaha
 
sina la kusema, nadhani Tonge atatufafanulia maana machozi ya simba ndo yalimpeleka shule, sasa kama mnalet machozi ya chui sijui ajira ya babu yake itakuwaje.

Watawezeshwa yeye na familia yake mkuu...ila sijasikia toka kwa Rev Masanilo sijui yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…