Naiomba klabu yangu ya Simba imsajili Mudathir Yahya, Azam wameachana naye

Azam ya msimu huu inaogopesha mpaka basi! Kama mpaka Mudathir ameachwa, basi inabidi Yanga tujiandae kweli kweli! Ili wakijitahidi sana, wakamate nafasi ya pili.

Si ndio derby yenu yule eeh mjipange tu
 
Azam ya msimu huu inaogopesha mpaka basi! Kama mpaka Mudathir ameachwa, basi inabidi Yanga tujiandae kweli kweli! Ili wakijitahidi sana, wakamate nafasi ya pili.
Mudathir hajaachwa... Alipewa mkataba mpya akagoma kusinya, alikuwa anataka mpunga mrefu. So wameshindwana kwenye maslahi binafsi ikabidi kila upande uchukue hamsini zake.
 
Wewe kweli sio mbumbumbu, Simba sijui ulifata nini mkuu..?
Njoo Yanga, makolo wenzako hawapendi ushauri
 
Jamaa aliona mbali sanaa, ila jamaa hayupo active Jf toka mwaka jana. Yupo hai kweli?
 
U

ulikuwa unasema..? Haha
Kwamba unadhani ndio nabadili kauli, kwangu still sio bora, mfumo mzima wa yanga ni rahisi kwake, kaikuta pia timu imetulia.. Yanga wanafaida ya viungo, wanaupiga mwingi sana, so nae anaonekana bora kwa msaada wa mfumo, ila kwangu bado si bora. Yanga wana tabia ya nzengeli, pacome wote kuingia ndani kukipiga kama viungo, hapo kiungo yoykte wa daraja lake atashine.

Kukusaidia tu Victor valdes kacheza barcelona ile ya motoo kabisa, na akabeba makombe mengi pamoja na ubovu wake.
 
Jamaa aliona mbali sanaa, ila jamaa hayupo active Jf toka mwaka jana. Yupo hai kweli?
Itakua haya maneno yalimfanya atumie ID nyingine.

 
Sijawahi kuona kipa No.1 wa timu kubwa mbovu kama Valdes.
 
hawezi kukubali kabla hajaenda yanga simba walimfata na baadae wakamtelekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…