Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
Ukweli lazima usemwe mechi ya leo imetia aibu sana mpira wetu, wachezaji wa maana kabisa waliosajiliwa kwa mamilioni ya shilingi kwa ajili ya kucheza mechi kubwa wamewekwa benchi halafu wanakuja kuchezeshwa akina Rashid Juma.
Ukweli lazima usemwe kuwa Jana na juzi wachezaji walikuwa busy na harusi ya Aziz ufunguo, na leo Singida wangeweka full mkoko jamaa alikuwa anakufa vizuri TU.
Singida wamekamilika asikwambie mtu, kuwafunga lazima ufanye namna kama hivi kuchezesha wachezaji wa kikosi cha pili, Takukuru wanaweza kuanzia hapa, nani alimtuma kocha asipange kikosi cha maana mchezo wa leo?
Soma Pia: FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025
Hivi ni kweli unaweza kuikabili Yanga kwa kucheza na wachezaji wa kikosi kile cha leo wakati mnao wachezaji wa maana kabisa?
Kwahiyo upo uwezekano kulikuwa na mawasiliano kuwa kwa vile wachezaji wamechoka na harusi ya Aziz basi wekeni wachezaji fair ili tusiharibu ladha yetu kuelekea ubingwa, kiukweli kila mtu ameona leo kuwa kilichofanyika is unfair.