Naiombea mamelodi leo anyolewe

Naiombea mamelodi leo anyolewe

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,074
Baada ya jana Raja Casablanca kunyolewa japo sikupenda,na pia Es Tunis kunyolewa sasa naona kuna kila dalili ya mamelodi kunyolewa leo maana hadi sasa 0-0 halftime,aggregate 2:1,na sioni dalili wakipata goli kesho ni zamu yakuwanyoa Orlando Pirates pia
 
Yameshatimia mamelodi out,ila hawa waangola wanajua kushikilia bomba dadeki wamejitoa kufa na kupona aisee!,hadi sasa hali inaonyesha timu zote zilizoshinda nyumbani ndio zimepita hatua ya nusu fainali
 
umeona kumbe,walioshinda home ndo wamevuka.
Simba nguvu moja.
 
Baada ya jana Raja Casablanca kunyolewa japo sikupenda,na pia Es Tunis kunyolewa sasa naona kuna kila dalili ya mamelodi kunyolewa leo maana hadi sasa 0-0 halftime,aggregate 2:1,na sioni dalili wakipata goli kesho ni zamu yakuwanyoa Orlando Pirates pia
ombi lako limesikiwa
 
Back
Top Bottom