Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Wenzetu wameweza kucheza game za ugenini jambo ambalo kwetu linatusumbua, ngoja tuone kesho tutaonesha nini.
Sikatai, ndio maana nikasema ngoja tuone kesho tutaleta kipi kipya.Mkuu kila kitu ni kujifunza mfano simba mwaka jana simba kabla yakutolewa na kaizer chiefs alikuwa amefungwa goli moja tu ugenini na Al ahly mechi ya marudiano basi
umeona kumbe,walioshinda home ndo wamevuka.Yameshatimia mamelodi out,ila hawa waangola wanajua kushikilia bomba dadeki wamejitoa kufa na kupona aisee!,hadi sasa hali inaonyesha timu zote zilizoshinda nyumbani ndio zimepita hatua ya nusu fainali
ombi lako limesikiwaBaada ya jana Raja Casablanca kunyolewa japo sikupenda,na pia Es Tunis kunyolewa sasa naona kuna kila dalili ya mamelodi kunyolewa leo maana hadi sasa 0-0 halftime,aggregate 2:1,na sioni dalili wakipata goli kesho ni zamu yakuwanyoa Orlando Pirates pia
Kesho ni zamu ya Orlando Pirates yes we can
umeona kumbe,walioshinda home ndo wamevuka.
Simba nguvu moja.
Dah!... Tungoje tuone kesho, inshaallah huenda Mnyama akawashangaza maharamia.Sikatai, ndio maana nikasema ngoja tuone kesho tutaleta kipi kipya.