dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Taifa limekuwa la kutekana kuuwana huku tukijinasibu kuwa ss ni kisiwa cha amani, amani ipi? watu wanatekwa wanauwawa na kisha bado viongozi wanaongea porojo alfu wanakimbilia kwenye mipira kuficha ualifu wao na ushetani wao, sasa nasema taifa 🌟 ipigwe vzr magoli ya kutosha hadi tuwe na kauli moja kama taifa na viongozi wawajibike.
Sina raha kutazama Mpira huku sijui Hatma Ya watanzAnia wenzetu walio potezwa na dola wako wapi hyo hamu ya Mpira naitoa wapi? ni Kiwa na uzuni?
Mwenyenzi Mungu fanya lolote hii timu ifungwe na hata hizi simba na yanga viondolewe caf championship na confedaration hadi zote kwa pmj tuwe Salam na wenzetu warudi.