dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Wewe ni mnafiki nakujuwaUkikosa biashara UZA LENDO, wewe waonekana huuzi lendo so huna UZALENDO
Unaongea ushetan gani wewe ni wale wale tu watekaji na Watu wenye roho mbya nakuombea yatakufika utanikumbukaHuko ni kuishiwa akili! matatizo mengine sio sababu yakushindwa vyengine,inamaana wewe ukishindwaa kutekeleza kitu fulani kwa watoto wako ndio iwe sababu wakuombee mabaya..?
Haya sas shindeni Leo watekaji ninyiDua ya kuku...
Nakushukuri snaNaunga mkono hoja 100%
πUnaongea ushetan gani wewe ni wale wale tu watekaji na Watu wenye roho mbya nakuombea yatakufika utanikumbuka
πNaunga hoja mkono, ole wako uende na bango lako la CCM uwanjani
Ndio maan akeDuuuh!
Mshangazi mambo?Ukikosa biashara UZA LENDO, wewe waonekana huuzi lendo so huna UZALENDO
uhalifu!!! huzuni!!!Taifa limekuwa la kutekana kuuwana huku tukijinasibu kuwa ss ni kisiwa cha amani, amani ipi? watu wanatekwa wanauwawa na kisha bado viongozi wanaongea porojo alfu wanakimbilia kwenye mipira kuficha ualifu wao na ushetani wao, sasa nasema taifa π ipigwe vzr magoli ya kutosha hadi tuwe na kauli moja kama taifa na viongozi wawajibike.
Sina raha kutazama Mpira huku sijui Hatma Ya watanzAnia wenzetu walio potezwa na dola wako wapi hyo hamu ya Mpira naitoa wapi? ni Kiwa na uzuni?
Mwenyenzi Mungu fanya lolote hii timu ifungwe na hata hizi simba na yanga viondolewe caf championship na confedaration hadi zote kwa pmj tuwe Salam na wenzetu warudi.
Naunga hoja mkono ,,,Taifa limekuwa la kutekana kuuwana huku tukijinasibu kuwa ss ni kisiwa cha amani, amani ipi? watu wanatekwa wanauwawa na kisha bado viongozi wanaongea porojo alfu wanakimbilia kwenye mipira kuficha ualifu wao na ushetani wao, sasa nasema taifa π ipigwe vzr magoli ya kutosha hadi tuwe na kauli moja kama taifa na viongozi wawajibike.
Sina raha kutazama Mpira huku sijui Hatma Ya watanzAnia wenzetu walio potezwa na dola wako wapi hyo hamu ya Mpira naitoa wapi? ni Kiwa na uzuni?
Mwenyenzi Mungu fanya lolote hii timu ifungwe na hata hizi simba na yanga viondolewe caf championship na confedaration hadi zote kwa pmj tuwe Salam na wenzetu warudi.
Mm ni yanga kuliko wewe ila wacha wafungwe tu na watatolewa na cbe πͺπΉNaunga mkono hoja ila YANGA kufungwa BIG NO