Naiona Al-ahly ikichukua ubingwa CAF Champion

Mohammed Khatibu

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
1,170
Reaction score
1,617
1. Al-ahly wanasafu nzuri ya ulinzi ukianzia kipa had walinzi wa kat.

2. Historia ya kulibeba kombe mara nyingi zaidi ni hamasa tosha kwa club hii.

3. Sina wasiwasi na safu yake ya ushambuliaj kwa kuwa tunae mfungaj bora wa ligi.

4. Kuhusu pesa za kupoza marefa na hata ikitokea kununua mech hapa sion tatzo, we are financially well-off..!

5. Mamelody hawa naona wamepata mtikisiko wa ndan wa kiufund mana wana majeruh weng na hata style yao ya uchezaj haitofautian na utopolo.

6. kuhusu hawa esperence wa tunis na majiran zetu congo siwaon hata fainal.
 
Mimi nina maoni tofauti na watu wengi... Nimempa Tp Mazembe nafasi ya kuingia fainali. Al-Ahly nahisi ataishia Semi final safari hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…