Lampard ameleta kitu tofaut ndani ya Chelsea wamekuwa wakicheza mpira mzuri na wamekuwa wakiimarika siku hadi siku naona kabisa gari likawaka baada ya kuwa na game ngumu zinazokaribiana
Mwanzo niliwatoa big 4 ila Sasa hiv naiona rasmi wataingia big 4 Kama wanapiga mpira mkubwa Kama ule wa Jana na Liverpool na Mimi niliona kabisa walistahili kushinda kombe Lile goal la pulisic lilikuwa sio offside kabisa ila marefa nao wanamapungufu yao. Wanapiga mpira mkubwa wakiwa hawana willian,odoi,rudiger na lotfus cheek ambao wapo injury vip Kama wakirudi team itakuaje?