Naiona Chelsea ikiingia big 4 msimu huu

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Lampard ameleta kitu tofaut ndani ya Chelsea wamekuwa wakicheza mpira mzuri na wamekuwa wakiimarika siku hadi siku naona kabisa gari likawaka baada ya kuwa na game ngumu zinazokaribiana

Mwanzo niliwatoa big 4 ila Sasa hiv naiona rasmi wataingia big 4 Kama wanapiga mpira mkubwa Kama ule wa Jana na Liverpool na Mimi niliona kabisa walistahili kushinda kombe Lile goal la pulisic lilikuwa sio offside kabisa ila marefa nao wanamapungufu yao. Wanapiga mpira mkubwa wakiwa hawana willian,odoi,rudiger na lotfus cheek ambao wapo injury vip Kama wakirudi team itakuaje?
 
Labda sio EPL ninayoijua mm ambayo hata Guardiola alivyokuja wahun walimpiga sach had ikabid ajitafakar tena kwa usajil sasa nyie mnaomtegemea mount na tamy abraham hamtaamin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…